Katika kuadhimisha siku ya amani duniani leo September 21, kituo cha sheria na haki za binadamu kwa kushirikiana na wadau wa utetezi wa haki za binadamu wanazungumza na wanahabari juu ya hali ya ulizni na usalama nchini. Unaweza kutazama Live kwa kubonyeza play hapa chini