Taasisi ya Sea seanse inayojihusisha na utunzaji wa samaki aina ya Kasa kutokana kuwa ni miongoni mwa samaki ambao wamepungua kwa zaidi ya asilimia 80 hivyo kwa kuujua umuhimu wake wameanzisha utaratibu wa kuwatunza.
Aidha, aina hiyo ya samaki licha ya kuwa ni sehemu ya kitoweo kwa baadhi ya wakazi wa maeneo ya Pwani, anatajwa kuwa na sumu kali ambayo inaweza kusababisha kifo kwa mlaji.
“Tumeukalia utajiri, wengine wanauchezea tu” – President JPM