Afisa habari wa Simba SC Haji Manara Alhamisi ya October 4 2018 alifanya mahojiano na Azam TV kupitia kipindi cha Nyundo ya Baruan Muhuza na kufunguka mambo mbalimbali kuhusiana na maisha yake na soka kwa ujumla, kama yalikupita unaweza kusoma mambo 10 aliyoyaongea hapa.
“Baada ya sisi kuwa Mabingwa imeanza kubadilika tunaanza kusikia wanajiita Mabingwa wa kihistoria, sijawahi kusikia Man United wanajiita Mabingwa wa kihistoria Bingwa anakuwa mmoja tu, ushawahi kusikia ManUnited anaitwa Bingwa wa kihistoria”-HajiManara #AzamTV #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/IC6j9sX3nd
— millardayo (@millardayo) October 4, 2018
“Waandishi mnakosea kwa nini umuite Yanga Bingwa wa kihistoria, unajua ni kuufifisha Ubingwa wa Simba, nchi zote 13 zilizopo kwenye CECAFA, kwa nini sisi tusijiite Bingwa wa kihistoria wa A.Mashariki na kati, kwa sasa Bingwa Azam”-Manara #Updates2 VIA #AzamTV #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/MX87tDTsNj
— millardayo (@millardayo) October 4, 2018
“Hii ya Bingwa wa kihistoria (Yanga) unajua mimi mwisho wa siku nitamwambia Rais JPM sio sawa mnatuharibia utamaduni, hivi leo Rais JPM aulize Bingwa wa TZ nani? uanze kusema kuna wa Bingwa kihistoria na sayansi kimu”-Manara #Updates3 VIA #AzamTV #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/0VMJ3aUJEh
— millardayo (@millardayo) October 4, 2018
“Kabla ya kufika round ya tano ya Ligi Simba atakuwa tayari Bingwa, timu zote naziheshimu lakini kiukweli mpinzani wangu wa kweli msimu huu anaeweza kunisumbua ni Azam FC”-Manara #Updates4 VIA #AzamTV #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/X3N7U1h9RY
— millardayo (@millardayo) October 4, 2018
“Kocha wa Simba SC (Patrick) ni professor wa mchezo wa mpira wa miguu, Prof kwa sababu siumeona ile hali ya umiliki wa mpira 68% kwa 32% dhidi ya Yanga juzi, sema ilitakiwa iwe 95% kwa 5% sema nyinyi (Azam TV) mme-balance tu”-Manara #Updates5 VIA #AzamTV #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/W4aEzTmiRP
— millardayo (@millardayo) October 4, 2018
“Hakuna mgogoro binafsi ule kati ya kocha mkuu (Patrick) na msaidizi wake (Masoud Djuma) kama ilivyo wafanyakazi wa sekta nyingine yoyote ile wanaweza kutofautiana katika misingi ya kazi yao ila hakuna mgogoro binafsi kati yao”-Manara #Updates6 VIA #AzamTV #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/s96859BMFZ
— millardayo (@millardayo) October 4, 2018
“Mimi naamini hakuna msemaji wa club aliyewahi kutokea kama Haji Manara hapa Simba hakuna na hatotokea lakini mimi siwezi kuwa juu ya Simba SC hata siku moja”-Manara #Updates7 VIA #AzamTV #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/mmEFEgqVQf
— millardayo (@millardayo) October 4, 2018
“Mimi ni msemaji bora wa muda wote Tanzania sio Simba tu Tanzania nzima, haijawahi tokea kwa vilabu vyote mimi nimenyanyua Brand ya Simba inaingiza mashabiki wengi uwanjani na mapato pia”-Manara #Updates8 VIA #AzamTV #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/UVyAadBRdr
— millardayo (@millardayo) October 4, 2018
Afisa habari wa Simba SC Haji Manara ametangaza kuwa ifikapo 2020 atagombea Ubunge wa jimbo la Ilala, Haji amesema pia ana ndoto ya kuja kuwa Rais wa nchi hii, hiyo ni ndoto ambayo inaweza kutimia au isitimie #Updates9 VIA #AzamTV #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/1Rzk9F2J97
— millardayo (@millardayo) October 5, 2018
“Simba tumewaachia, sisi hatuna presha”-Kocha wa Yanga