Michezo

Yanga SC yazivunja kamati zote

on

Uongozi wa club ya Yanga SC kupitia katibu mkuu wake David Ruhango imetangaza kuvunja kwa kamati zote ndogo zilizokuwa zimeundwa awali.

Uamuzi huo umefikiwa baada ya Yanga kumaliza au kupita katika kipindi cha mpito cha kutengeneza sekretarieti ya club hiyo toka ulipofanyika uchaguzi mkuu wa club hiyo.

Yanga SC kwa sasa haina presha kubwa kufuatia mdhamini wao GSM kuamua kuisaidia club hiyo katika usajili wa wachezaji na kulipa mishahara.

Soma na hizi

Tupia Comments