Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Yanga na Azam FC wamewazuia wachezaji wao Taifa Stars, Mkwasa kafanya maamuzi haya
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Yanga na Azam FC wamewazuia wachezaji wao Taifa Stars, Mkwasa kafanya maamuzi haya
Sports

Yanga na Azam FC wamewazuia wachezaji wao Taifa Stars, Mkwasa kafanya maamuzi haya

August 11, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Borniface Mkwasa ameamua kufanya maamuzi ya ziada baada ya klabu za Azam FC na Yanga kutowaruhusu wachezaji wake kujiunga na kambi ya Taifa Stars August 9 na badala yake kuendelea na maandalizi yao ya mchezo wa Ngao ya Hisani utakaopigwa August 22.

DSC_0030

Mkwasa amelazimika kuita wachezaji wapya kumi ili kuendelea na program yake ya mazoezi kama kawaida hivyo hao ambao hawajaruhusiwa kujiunga atawaangalia katika mechi ya Ngao ya Hisani kwani hawezi kumchukua mchezaji ambae hayuko vizuri na labda ana majeruhi ndio maana aliitisha kambi ya siku kadhaa kablaa ya wachezaji kurejea katika vilabu vyao

DSC_0022“Nafikiri ndio hivyo kwa sababu tulitarajia kwamba wiki hii pengine itakuwa sio wiki muhimu sana kwao kwa sababu wana wiki moja mbele ya maandalizi kwa wiki ijayo lakini hatuwezi kuwalazimisha kwa sababu Tanzania ina wachezaji wengi na sisi tuna bank ya wachezaji kama wamewazuia basi tutawachukua wengine kama unavyoona”>>>Mkwasa

DSC_0030

Mkwasa alitangaza kikosi cha timu ya taifa Ijumaa ya August 7 hivyo wachezaji wote wanaocheza Ligi ya ndani walitakiwa kuripoti siku ya Jumapili ya August 9.

Wachezaji walioongezwa kikosini ni golikipa Saidi Mohamed, Vicent Andrew, kutoka Mtibwa Sugar, Mohamed Hussein (Tshabalala) na Ibrahim Ajib, kutoka Simba, Hamis Ally na Juma Mbwana kutoka KMKM, Tumba Swed kutoka Coast Union, Samwel Kamuntu kutoka JKT Ruvu na Ibrahim Hilka kutoka klabu ya Zima moto ya Visiwani Zanzibar sambamba na golikipa wa Tanzania Prisons Mohamed Yusuph ambae bado hajawasili kikosini.

Zaidi Mkwasa ameongea hapa

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

You Might Also Like

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal

Jorginho yametimia Arsenal

Picha: Tazama wadau mbalimbali waliohudhuria kushuhudia mkataba wa Yanga na Haier

Rama Mwelondo TZA August 11, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Stori 10 za AMPLIFAYA Agosti 11, 2015 kwako uliezikosa mtu wangu nimekuwekea hapa
Next Article Alilewa kazini, picha ikapigwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, kilichofuata ni stori nyingine!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?