Michezo

Yanga wamesajili hawa wawili leo, mmoja toka Ghana na mwingine toka Zimbabwe… (Pichaz)

on

YANGA

Countdown ya story za Ligi Kuu Tanzania Bara imeanza mdogomdogo mtu wangu, tunasubiri August 2015 ili tuzione Timu zote kali zikitoana jasho kwenye viwanja tofauti vya Soka TZ.

Magazeti ya Michezo TZ yana story nyingi, zipo Timu zilizoleta makocha wapya kwa ajili ya kujiandaa na ligi hiyo, wapo waliosajili wachezaji pia.. nimepita kwenye ukurasa wa Yanga na kukutana na story kwamba nao wameongeza vifaa vyao viwili, mmoja wao anatoka Zimbabwe na mwingine anatoka Ghana.

mchezaji kutoka ghana akisain kandarasi ya yanga leo hii tumeingia nae mkataba kama mchezaji wa @yangasc @yanga_tv @erictz @mmarumbo

A photo posted by Young Africans SC – Official (@yangasc) on

Mpaka sasa hawajatoa majina ya Wachezaji hao ila hizo ndio post zenye pichaz za Wachezaji hao wakisaini Mikataba yao na Klabu ya Yanga.

Mwandishi wa Michezo Shaffih Dauda ameandika kwamba Majina ya waliosajiliwa leo Yanga ni Donald Ngoma kutoka Zimbabwe na Joseph Zuttah ‘Tetteh’ kutoka Ghana.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments