Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imetoa Ripoti ya sekta ya mawasiliono baada ya kutembelea zaidi ya mikoa 20 kujionea ufanisi wa mitandao katika kila Mkoa.
Ripoti hiyo imeeleza kuwa kuna mafanikio makubwa kwenye sekta ya mawasiliano ila zipo dosari kidogo kwa baadhi ya makampuni kutotimiza wajibu wake kwa fedha walizopewa na serikali na shirika la TTCL ndilo shirika la kwanza ambalo linatajwa kuwa na tatizo hili.
“Kamati ya bunge ya kudumu ya miundombinu tunashauri makampuni na mashirika kutumia fedha wanazopewa na serikali kutimiza malengo halisi ya fedha hizo.” – Prof Norman Sigalla
Ulipitwa na hii? “Ninao ushahidhi Madiwani wanaohamia CCM wananunuliwa” – MBUNGE NASSARI