Club ya wekundu wa Msimbazi Simba SC leo Jumatatu ya November 6 2017 imetangaza kuwa kiungo wao Said Hamis Ndemla atasafiri kesho November 7 2017 kuelekea Sweden kwenda kufanya majaribio katika club ya AFC Eskilstuna inayoshiriki Ligi Kuu Sweden.

Manara kabeba TV na kuja nayo kwa Waandishi leo kuonyesha Simba inavyoonewa (+video)