May 25 2017 ziliripotiwa taarifa za kutokea tetemeko la Ardhi Kanda ya Ziwa ambako Askari mmoja amefariki kutokana na mshtuko katika Wilaya ya Misungwi ambapo Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo amethibitisha kuupokea mwili wa Askari huyo.
Tetemeko hilo linakuja wakati bado Wakazi wa eneo hilo wakiwa na kumbukumbu ya tetemeko lililogharimu maisha ya watu na mali zao ambalo lilitokea Kagera.
Ayo TV na millardayo.com zinaye Mganga Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Zabron Masatu ambaye anafafanua zaidi kwenye hii Exclusive interview ambayo unaweza kuitazama kwa ku-play.
ULIMISS: Serikali baada ya taarifa ya Mbunifu wa Nembo ya Taifa!!!