Bado headline za bunge la 11 limeendelea Dodoma, katika kipindi cha maswali na majibu leo nakusogeza karibu na mbunge wa viti maalum ccm Juliana Shonza ambaye hajaridhishwa na kiasi cha riba za bank za Tanzania katika kuwasaidia wananchi wa kawaida.
Majibu yametolewa na Naibu Waziri wa Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Hamisi Kigwangalla
ULIMISS MAMBO SITA YA GOODLUCK BAADA YA KUVULIWA KOFIA YA BARAGHASHIA BUNGENI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE