Jiji la Arusha limeingia tena kwenye headlines kwa mkasa uliotokea Namayana baada ya Mwenyekiti wa Kijiji cha Namayana, Iliboru Elias Naigisa kudaiwa kufumaniwa na mke wa ndugu yake ambapo Balozi wa eneo hilo Maria Francis anaelezea ilivyokuwa.
TAZAMA KWENYE HII VIDEO FUPI HAPA CHINI
Mwenyekiti wa Namayana Arusha Elias Naigisa adaiwa kufumaniwa na mke wa ndugu yake, Balozi wa eneo hilo Maria Francis anaelezea ilivyokuwa. pic.twitter.com/oKtHV0sWfK
— millardayo (@millardayo) July 10, 2017
VIDEO: Hii ni ya Mchungaji kuoa Mke wa Muumini wake Kagera!!!