Baada ya headlines za muda mrefu kwa mshambuliaji Ibrahim Ajib aliyekuwa anaichezea Simba kuhusishwa kujiunga na Yanga, leo July 5 2017 club ya Dar es Salaam Young Africans imetangaza kumtambulisha Ibrahim Ajib.
Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa na meneja wa timu Hafidhi mbele ya waandishi wa habari wamemtangaza kumsajili mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa miaka miwili, Ajib amejiunga na Yanga kama mchezaji huru akitokea Simba.
RASMI: Yanga imemtambulisha Ibrahim Ajib akitokea Simba, amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/LBtr402tin
— millard ayo (@millardayo) July 5, 2017
VIDEO: All Goals Taifa Stars vs Lesotho June 10 2017, Full Time 1-1