Jeshi la Polisi limekwisha toa taarifa mara kadhaa juu ya usafirishwaji wa pesa kutoka eneo moja kwenda eneo jingine hasa kutumia njia sahihi ya kusafirisha hizo pesa bila kubeba kwenye gari.
Mrisho Mpoto leo amenusurika kuibiwa pesa na majambazi ambao walikua wakimfatilia toka anatoka Bank ambapo kasema kuwa wakati yupo njiani alipigiwa simu na watu wa Bank kumpa taarifa kuwa hayupo sehemu salama hivyo aende kituo cha Polisi.
Amelishukuru Jeshi la Polisi kwa msaada waliompatia kunusuru kuibiwa pesa hizo,bonyeza play kumsikiliza akielezea tukio lilivyokuwa.
104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma.
Bonyeza play kusikiliza.