Ikiwa ni wiki kadhaa tangu itoke video ya Msambinungwa ya Tunda Man ambayo ilisemekana imefanyika nje ya nchi,miongoni mwa watu walioikamilisha hiyo video ambaye pia ni mmiliki wa studio iliyopo Sinza ameibuka na kusema Tunda amekimbia na deni lake,Soud Brown ana-amplify taarifa hizi.
104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma.
Bonyeza play kusikiliza.