Ni stori zinazopitia kwa Soudy Brown ambazo mara nyingi huwa ni zile zinazokuwa chini ya kapeti hivi lakini anazifichua ambapo ya May 27 2014 inamuhusu producer Lucci ambae stori ni kuhusu uhusiano wake wa kimapenzi.
Hii ya leo ni kuhusu fununu za wazazi wake kudaiwa kumpa onyo la kumwachia radhi endapo atamuoa mpenzi anayefikiria kumuoa kwa sasa.
96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.
Bonyeza play kusikiliza.