Videos

VideoMPYA: Dully Sykes katuletea video yake mpya inaitwa ‘Yono’

on

Abdul Sykes a.k.a Dully Sykes anazo heshima zake nyingi kwenye bongofleva ambapo ametuanzishia mwaka 2017 kwa hii brand new video inaitwa ‘Yono‘ kupitia mikono ya director Khalfani Khalmandro.

Ukishaitazama hapa chini usiache kuandika comment yako ili akipita Dully Sykes mwenyewe ajue watu wake wamesemaje….

Show ya Dully Sykes na Harmonize Maisha Club Dar

Soma na hizi

Tupia Comments