Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha hati akionyesha kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya Manji na wenzake.
Tazama hii video hapa chini kumtazama Manji baada ya kuachiwa
.