Taarifa ikufikie kutoka Ujerumani anakocheza soka mtanzania Emily Mugeta katika timu ya Freund Spiel Lauffen inayoshiriki Ligi daraja la tano nchini Ujerumani, jana aliumia uwanjani na kupoteza fahamu wakati wa mchezo dhidi ya Stetten Kleinngattach game ilyomalizika kwa timu yao kufungwa kwa magoli 3-1.
Emily Mugeta aliumia na kupoteza fahamu baadae akajikuta hospitalini alipokuwa anapatiwa matibabu, millardayo.com imefanikiwa kumpata katika exclusive interview kutokea Ujerumani na kueleza jinsi ilivyokuwa, kwa sasa tayari ametoka hospitalini.
VIDEO: Simba imekubali kipigo cha nne cha VPL vs Kagera April 2 2017