Mwaka 2018 baadhi ya wasanii kama Ali Kiba, Vanessa Mdee, Ommy Dimpoz, Ben Pol wamechukua headlines katika mitandao ya kijamii kutokana na muonekano mpya wa rangi katika nywele zao.
Bonyeza PLAY ili kupata habari kamili kuhusiana na mastaa hawa kubadili mionekano yao ya nywele.
‘Pilipili kupata tuzo ni jambo la kawaida, tuzo haina mashiko’ – Coy Mzungu