AyoTV

Swali la kwanza la Mbunge Ester Bulaya baada ya kutoka kifungoni (+Video)

on

June 5, 2017 Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya walipewa adhabu ya kutohudhuria mikutano mitatu mfululizo ya Bunge ikiwa ni adhabu waliyopewa na Spika Job Ndugai kwa kosa la kudharau kiti cha Spika, Leo January 30, 2018 Mbunge Ester Bulaya alisimama Bungeni kuuliza swali kwa serikali ikiwa ni baada ya kumaliza kifungo chake hicho.

Aunty Ezekiel kafunguka ishu ya kugombana Mose Iyobo “Hata vikombe vinagongana”

Soma na hizi

Tupia Comments