Kila binadamu anasababu ambazo humpelekea kufikia maamuzi ya kujiua au kutaka kujiua kutana na staa wa muziki kutokea Marekani Demi Lovato ambaye alifikia maamuzi ya kutaka kujiua akiwa na umri wa miaka saba.
Demi Lovato ameeleza haya akiwa katika mahojiano na Dr. Phil na kusema kuwa alikuwa ni mtu ambaye mwenye mawazo mengi ilifikia hata kipindi mama yake alikuwa akiogopa kumuamsha asubuhi alihisi kuwa huenda akawa amekufa kutokana na tabia aliyokuwa nayo ya kujikata ovyo.
….>>>“Nilifanyiwa uonevu nikiwa na umri wa miaka 12 nikiwa shuleni, nikatafuta suluhisho na kuona kuwa pombe ndio kitu pekee cha kunifanya niwe huru”
Demi Lovato ametamba na ngoma nyingi kali zikiwemo Tell me You Love me, Heart Attack, Stone Cold, Sorry Not Sorry na nyingine nyingi.
Bonyeza PLAY kusikiliza akielezea kuhusu historia ya maisha yake mpaka kufikia kutaka kujiua.
Ulipitwa na Model aliechora Tattoo ya Mbasha azungumzia ujauzito alionao