Mbunge wa viti maalum CHADEMA, Jesca Kishoa wakati akichangia mapendekezo yake katika mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20 amehoji Serikali ni kwanini imekuwa kurekebisha baadhi ya mikataba yake mibovu inayosababishia taifa hasara ikiwemo mkatawa wa Songas.
Kauli ya Waziri Lugola baada ya kuambiwa Serikali ina-Support ushoga