Hii ni nyingine ya kuifahamu leo May 25,2018 kutokea Nigeria kuhusu staa wa muziki Wizkid” Starboy” kufungua duka lake mwenyewe London Uingereza na ame-share good news hizo kupitia ukurasa wake wa instagram.
Wizkid ni miongoni mwa mastaa kutokea Nigeria wenye mafanikio kimuziki na pia kifedha hii ni kutokana na kufanya collaboration na wasanii tofautitofauti akiwemo Drake kutokea Canada, Justine Skye kutokea Marekani na wengine wengi.
Kufungua kwake duka hilo linaloitwa “Starboy Pop Up Shop” mjini London ni moja ya mafanikio yake aliyoyafikia na kuyatangaza kwa mashabiki zake.
Dulla Makabila kazungumza baada ya skendo kubaka “Nilitembea na mwanafunzi”