Muigizaji Irene Uwoya amefunguka kwenye Exclusive interview na Ayo Tv na kusema kuwa anachukizwa na watu kumpangia cha kuvaa , yeye binafsi anapenda nguo fupi na kwa upande wa nguo ndefu anaona kama ana ugonjwa nazo.
Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza alichokizungumza.
Miaka 9 tokea kifo cha Michael Jackson, kuna haya ya kuyafahamu