The female rapper Chemical ametumia ukurasa wake wa instagram kufunguka kuhusiana na mashabiki ambao wamekuwa wakimsema kuhusu muonekana wake pamoja na nguo ambazo amekuwa akizivaa ambapo wengi wamekuwa wakisema kuwa anavaa mavazi ya kiume huku yeye ni mwanamke.
Kupitia ukurasa wake huo wa instagram ameandika ujumbe mzito ambao umeonekana kuwalenga wale wote ambao wamekuwa kinyume na muonekano wake kwa kuandika comments ambazo zimeonekana kumchukiza mpaka kufikia hatua ya kufikisha ujumbe kupitia ukurasa wake wa instagram
“Kama kuna mwanaume anaweza kuvaa nguo zangu ajue kabisa sio mwanaume aliyekamili na atakua na matatizo. Na wewe ambaye kila ukikaa unajudge mavazi yangu na muonekano ujue unajipotezea muda navaa navyojisikia kuvaa na uwanamke wangu si wa mavazi..Upo nyonyo👌Mwanaume kamili anajua mimi ni mwanamke…”
“Kama huwezi kushabikia mziki wangu bila kuangalia mavazi hufai kua shabiki wangu pia..s,,,,,,, type Mxiuuuww”
#MwanawaLubao#PovulangulaLeo#NasubiriaMapovuYenuNikafulieNguo”
Dj Puffy katua DSM, afunguka ishu ya kushare stage moja na Rihanna