Siku moja baada ya JPM kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo baada ya kupokea ripoti ya Kamati Maalum iliyochunguza Makontena ya mchanga, Mbunge wa Mtwara Mjini Maftaha Nachuma, CUF leo May 25, 2017 amelieleza Bunge kuwa Rais amefanya kitendo cha kishujaa kutengua uteuzi huo akisema anapaswa kuungwa mkono.
VIDEO: Tundu Lissu, Tambwe wambana JPM, Atakaye mrithi Prof. Muhongo je?