Kiongozi wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, amegusia kuvuliwa Ubunge kwa Mbunge wa CHADEMA Tundu Lissu ambaye yupo kwenye matibabu Ubelgiji.