May 19, 2017 Mbunge wa kuteuliwa Anne Malecela alikuwa ni mmoja kati ya wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma kuchangia mapendekezo yako katika Wizara ya Kilimo, mifugo na uvuvi ambapo moja ya kilio chake kikubwa alichokionesha ilikuwa ni kuhusiana na umuhimu wa zao la tangawizi.
Full video nimekusogezea hapa…
VIDEO: Vipaumbele vinne vya bajeti Wizara ya Kilimo 2017/2018