Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Dully Sykes ametuletea hii bonus ya kuitazama inaitwa Coconute

on

Baada ya Mkongwe kutokea Bongoflevani Dully Sykes, kutuletea video ya wimbo wa Bombadier ambao umekuwa ukifanya vizuri kwenye radio station na Tv station nyingi sasa ametuletea nyingine hii ambayo ni Bonus na nisinge penda ikupite mtu wangu inaitwa Coconute na kwenye video ameonekana Video Queen na msanii Gigy Money..

Bonyeza PLAY kuitazama Video..

UCHEBE KAFUNGUKA KUHUSU SHILOLE KULEWA “Nimembadilisha Shilole hakuwa hivi”

Soma na hizi

Tupia Comments