Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Jux, Lulu Diva na Mastaa wengine wamezungumza kwenye Album Listening Party ya Vanessa

on

Usiku wa December 29, 2017 ilikuwa ni uzinduzi wa album ya Vanessa Mdee inaitwa Money Mondays, party iliyopewa jina la Listening Album ambapo mgeni rasmi kwenye Party hiyo ni staa mwenye asili ya Kongo, Mohombi ambaye ameshirikishwa kwenye wimbo wa ‘Kwangu njoo” wa Vanessa Mdee uliopo kwenye Album yake mpya ya Money Mondays..

Hawa hapa baadhi ya mastaa walio hudhuria party hiyo na kuzungumza machache kuhusu Vanessa, Bonyeza PLAY hapa chini KUTAZAMA na KUSIKILIZA…..

VIDEO: Vanessa na Mohombi katika uzinduzi Rasmi wa Album mpya Money Mondays

Soma na hizi

Tupia Comments