Habari za Mastaa

VideoMPYA: Msanii mwenye asili ya Norway, Makihiyo ametulete hii kaifanyia Bongo

on

Msanii mwenye asili ya Nowray ambae anajua kiswahili na anafanya muziki wa bongofleva Makihiyo ametoa video ya wimbo wake mpya unaitwa “Pole Pole” wimbo huo umekuwa produced na Tiddy Hotter na kuandikwa na Atan na video imeandaliwa na director Sniper.

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama..

“Sugu kuhukumiwa sija-feel chochote, ni maadui hata nikisikia amekufa sitaenda” – Faiza Ally

“Nilikutana na Tunda, Laki amelipa asingelipa Dunia ingesimama kidogo” – Aunty Ezekiel

Soma na hizi

Tupia Comments