Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Gigy Money anahisi kwanini wengi hawaitwi BASATA?


Baada ya msanii Gigy Money kwenda kuripoti BASATA ikiwa ni kwa lengo la kutii wito wa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza ambapo baada ya kutoka alifanya mahojiano na mwandishi wa AYO TV na alipoulizwa kama anahisi kwanini wasanii wengi hawakuitwa na Basata.?

Gigy Money amelijibu hapa bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza..!

Ni kweli Gigy Money alitumiwa msg na Waziri hakujibu?

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement