Biko


Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

Atumia picha ya rafiki yake aliyehai kuomba rambirambi akidai amefariki

on

Kutoka Dar es Salaam leo kwenye Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM Geah Habib katuletea hii ambapo mtu aliamua kutumia picha ya rafiki yake kisha kuiweka alama ya X na kutembea nayo mtaani huku akiwa na kitabu cha mchango na kuwaambia watu kuwa rafiki yake amefariki anaomba rambirambi.

Inadaiwa mtu huyo aliamua kufanya hivyo ili apate nauli ya kwenda South Africa kutafuta maisha huku mwenyewe aliyezushiwa kifo akidai mtu huyo alimtembelea nyumbani kwake na kuanza kuala picha kwenye album lakini kwa siri akaiba picha moja.

Bonyeza Play hapa kusikiliza Fullstory…

MOTO WA AJABU: Unawaka bila chanzo, ukizimwa mezani unawaka kitandani…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement