Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Rais mstaafu Alhaji Mwinyi ametangaza kufuta kauli yake iliyodumu kwa miaka zaidi ya 25

on

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Jumapili ya February 11 2018 uwanja wa Taifa Dar es Salaam baada ya game ya Simba na Gendermarie alitangaza kufuta kauli yake iliyodumu kwa takribani miaka 25 sasa.

Kwa mujibu wa afisa habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa Rais Mwinyi mwishoni mwa mwaka 1988 alisema kuwa “Tanzania sasa ni kama kichwa cha mwendawazi” kila mtu anajifunza kunyoa, hiyo inatokana na Tanzania kutofanya vizuri kwa wakati huo.

Baada ya game ya Simba iliyoibuka na ushindi wa magoli 4-0, Mstaafu Mwinyi alifuta kauli hiyo iliyodumu kwa muda mrefu na kusema sasa Tanzania sisi ni vinyozi.

VIDEO:Magoli ya Simba walivyorudi kimataifa leo vs Gendermarie Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments