AyoTV

Mtanzania aliyekataa mshahara wa Tsh. milioni 425 Marekani amerejea nyumbani

on

Benjamin Fernandes ni Mtanzania ambaye ameingia kwenye headlines katika mitandao mbalimbali baada ya kuhitimu Masters kwenye Chuo Kikuu cha Biashara kinachotajwa kuwa Namba moja Duniani, Stanford, Marekani.

Benjamin anayo hii story nyingine baada ya kukataa ofa za kufanya kazi kwenye makampuni makubwa ambayo yalikuwa tayari kumlipa hadi Tsh. 425m kwa mwaka kama angekubali kufanya kazi akiwa Marekani.

>>>”Watu wengi wananiuliza kwa nini nimerudi? Kwa nini nimerudi nyumbani? Kweli nilikuwa napewa ofa za Shilingi 425m kwa mwaka kufanya kazi Marekani kwenye kampuni mbalimbali. Mpaka leo asubuhi nimepigiwa simu na kampuni kutoka Marekani ni kampuni kubwa sana.” – Benjamin Fernandes

Star wa Bongomovie alalamika kuibiwa jina na Chege!!!

 

Soma na hizi

Tupia Comments