Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

AudioMPYA: Dully Sykes katuletea hii single yake mpya ‘Yono’


Legend wa bongofleva Dully Sykes kauanza mpya 2017 na huu mdundo mpya uitwao Yono, wimbo umetayarishwa katika studio za 4.12.

Ukishaisikiliza single hiyo mpya hapa chini usiache kutoa comment yako ili akipita ajue watu wake mnasemaje.

ULIIKOSA ALICHOKIZUNGUMZA HARMONIZE KUHUSU KUACHANA NA WOLPER BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement