Top Stories

Kamanda Zimamoto akanusha tuhuma za kuchelewa kuzima moto Hoteli ya Kitalii (+video)

on

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Arusha Kennedy Komba amekanusha taarifa zilizoripotiwa kwamba walichelewa kufika kuzima moto uliozuka katika hoteli ya kitalii ya Ilboru Lodge inayomilikiwa na Kanali Mstaafu wa Jeshi nakusababisha baadhi ya nyumba kuteketea kwa moto.

RAIS MAGUFLI AONYESHWA ‘BONGE’ LA UWANJA WA MPIRA WA KISASA WA DODOMA

Soma na hizi

Tupia Comments