MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

TAMBO: “Tulimzuia Messi na Ronaldo, Harry Kane ni nani?”

on

Leo July 11, 2018 Kocha wa Croatia Zlatko Dalic amesema kuwa kikosi chake tayari kimefanikiwa kumzuia Messi hivyo kinaweza kumkabilia Harry Kane wa Uingereza katika nusu fainali hapo kesho.

“Lakini tunaamini uwezo wetu, alisema. “Hatuwaogopi England.”

“Kane ni mfungajia bora- sio rahisi kumzuia. Lakini tuna mabeki wa kati. Tulifanikiwa kumzuia Messi na [Christian] Eriksen kwa hivyo tuna matumaini ya kumzuia Kane.”

“Afadhari ulime Bangi kuliko Kahawa” wananchi wamemwambia Prof. Tibaijuka

Soma na hizi

Tupia Comments