DSTV

Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana Lulu Diva katualika kuitazama ‘Give It To Me’

on

Leo August 11, 2017 miongoni mwa video mpya na fresh zilizonifikia ni pamoja na hii ya mwimbaji staa wa Bongofleva Lulu Diva, inaitwa ‘Give It To Me’ na video ya wimbo huu imefanyika South Afrika chini ya Aladupont Media Production. 

Unaweza kuchukua dakika zako 3:13 kuitazama mtu wangu na ukishamaliza kuitazama unaweza kuniachia comment yako ili Lulu Diva akisoma ajue umeipokea vipi mtu wangu>>>

 VIDEO: Mastaa wa Bongo kwenye uzinduzi wa Filamu mpya Mlimani City 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement