PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Hizi ndio sifa tatu za gari jipya la kipekee la Chris Brown

on

Staa maarufu kutokea Marekani mwenye miondoko mikali kwenye RnB Chris Brown amevunja rekodi baada ya kununua gari aina ya SUV lenye Bullet proof ( gari linalozuia risasi) lenye thamani zaidi ya shillingi Millioni 700 za Kitanzania.

Kupitia mtandao wa Kimarekani wa TMZ unadai kuwa Chris Brown aliagiza gari hilo miezi kadhaa iliyopita na taarifa zingine zikidai kuwa amenunua gari hilo kwa ajili ya ulinzi kutokana na mauaji ambayo yamekuwa yakiendelea nchini Marekani.

Gari hilo aina ya SUV linasemekana kuwa na milango ya umeme na ina uwezo wa kutoa shoti endapo uvamizi utafanyika katika gari hilo na linauwezo wa kuhimili mashambulizi ya risasi.

Shamsa Ford kafunguka Baba yake Patrick anayemjua yeye

Soma na hizi

Tupia Comments