Habari za Mastaa

UTAPENDA: Alivyoingia Meek Mill kwenye stage Summer Jam

on

Style hii ya uingiaji wa kwenye stage wa Rapper Meek Mill kutokea Marekani uliwafurahisha wengi kwenye tamasha la “Summer Jam 2018” ambapo rapper huyo alipanda na pikipiki.

Rappa Meek Mill hakuwa msanii pekee aliyetumbuiza katika tamasha hilo alisindikizwa na wasanii kama Lil Wayne, Rich The Kid, Tory Lanez na wengine kibao, style hiyo ya kuingia na pikipiki iliwafanya mashabiki kushangilia kutokana na kitendo hicho kuwa cha tofauti katika tamasha hilo.

Bonyeza PLAY kutazama style ya uingiaji wa Meek Mill katika stage.

Nini amfungukia Nay wa Mitego

Soma na hizi

Tupia Comments