PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Quick Rocka alivyowachanganya mashabiki mtandaoni

on

Ipate hii nyingine iliyotrend kwenye mitandao ya kijamii leo July 12,2018 ambapo msanii kutokea kwenye Bongo Fleva Quick Rocka amechukua headlines baada ya kupost picha ya ultra sound ikionyesha watoto mapacha katika ukurasa wake wa instagram na baadhi ya mashabiki kuanza kumpa pongezi.

Kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika ujumbe ambao unamuonyesha kuwa na furaha ya ujio wa watoto mapacha lakini mwisho wa siku ulikua ni utani ambao ameufanya kupitia ukurasa huo baada ya kusema kuwa hafahamu wazazi wa mapacha hao na alitaka tu kutisha watu ikiwemo baadhi ya mashabiki walikuwa washaanza kutoa pongeza.

“Inaonekana mwaka 2019 utakuwa mwaka wa furaha , nilikuwa sijatarajia hili na nilitaka kumjulisha kila mtu  kivyake, siwezi kusubiri kuona furaha watakayoileta viumbe hawa , sifahamu wazazi wao lakini nilitaka kuwatisha tu”

Muimbaji Prospa Ochimana aliyeimba Ekwueme amekuja Tanzania kwa mara ya kwanza

Soma na hizi

Tupia Comments