PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

BREAKING: Jengo la ghorofa linateketea kwa moto Kariakoo (video fupi)

on

Leo June 13, 2018 Jengo la Ghorofa limeteketea kwa moto katika mtaa wa Agrey na Livingstone katika eneo la Kariako jijini Dar es salaam na kuteketeza baadhi ya mali zilizokuwepo katika jengo hilo.

Msemaji Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkaguzi Joseph Mwasabeja asema moja ya changamoto walizopata kuuzima moto wa leo kwenye ghorofa ni Magari ya Zimamoto kupata tabu kuingia kwenye eneo la tukio Kariakoo.

>>>Taarifa kamili kukujia hapahapa millardayo.com

 

Maneno ya Rais Magufuli kwa TB Joshua katika Birthday yake

Soma na hizi

Tupia Comments