PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

“Sijaongea yale kutafuta kiki, mimi mwenyewe kiki tosha, siunaona balaa langu” Hamisa Mobetto

on

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amesema kuwa yale mengi aliyofunguka kuhusu maisha yake siyo Kiki kama watu wengi wanavyodhani kwamba kafanya vile ili kuboost wimbo wake bali ni vitu vya kweli ambavyo amezungumza.

Hamisa Mobetto ameongeza kwa kusema mara nyingi alikuwa akikwepa kuzungumza lakini ilibidi yeye kuongea yale kwaajili ya kulinda brand yake ambayo amedai aliona inachafuliwa. Hamisa amesema hayo na mengine mengi wakati alipohojiwa na mtangazaji wa Ayo TV, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mahojiano hayo.

KUTOKA KISARAWE: Mahojiano na Hamisa Mobetto kazungumza haya

Makeup ya Wema Sepetu simchezo inagharimu mpaka Laki moja kwa siku (+Video)

Soma na hizi

Tupia Comments