Tangaza Hapa Ad

Mix

Maneno ya Polisi Morogoro baada ya kumkamata Afande sele

on

Kama zimekupita headline za msanii mkongwe wa Bongoflevani Afande Sele kukamatwa na Jeshi la Polisi, taarifa hii ikufikie mtu wangu huko Morogoro August 31 2016 taarifa zilisambaa kuwa msanii huyu alikamatwa kwa kosa la  kuhamasisha watu kufanya mandamano ya ukuta September mosi.

Millardayo.com na Ayotv inakusogezea Audio ya maneno ya Polisi Morogoro baada ya kumkamata Afande Sele kuhusiana na taarifa hii na kuongea haya 

>>>’ Jana tulipokea taarifa ya kwamba kulikuwa na watu pale maeneo ya msamvu wakiwa na huyu bwana sele alichokuwa anakifanya yeye ni kuhamasisha hawa watu kuwashauri washiriki kwenye haya maandamano na kuwahidi kuwapa vitu mbalimbali

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA MAONI YA RC MAKONDA BAADA YA CHADEMA KUHAIRISHA UKUTA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement