Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ipokeeni hii watu wangu wa Moshi kutoka kwa Ally Kiba #Cheketour

on

2lrgUkubwa wa singo ya Chekecha ambayo ni singo mpya ya Ally Kiba umempa ziara ya kutembelea mikoa mbalimbali na kuzungumza na mashabiki wa muziki wake,nimeambiwa kaanza na mikoa ya kaskazini ambayo ni Moshi na Arusha pamoja na Namanga.

Ally Kiba ameingia Moshi March 06 akiwa pamoja na Recho wa THT,hizi ni baadhi ya picha zao tangu wanaingia Moshi,mpaka wanafanya mazoezi kabla ya show ambayo inatarajiwa kuanza saa 3 usiku mtu wangu.

167kb

164kb

162kb

158kb

112kb

108kb

106kb

90kb

89kb

80kb

19lrg

73kb

74kb

76kb

78kb

79kb

17lrg

16lrg

15lrg

11lrg

10lrg

9lrg

8lrg

4lrg

294kb

262kb

242kb

164kb

162kb

161kb

90kb

106kb

108kb

76kb

Tupia Comments

Advertisement