Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Alichozungumza kocha Mayanja kabla ya Simba kucheza dhidi ya KVZ

on

January 3 2016 Simba SC watacheza mchezo wao wa pili wa Kundi A wa michuano ya Mapinduzi Cup 2017, Simba wana point 3 katika michuano ya Kombe la Mapinduzi, point ambazo walizipata kwa kuifunga Taifa Jang’ombe goli 2-1.

Kuelekea mchezo huo kocha msaidizi wa Simba mganda Jackson Mayanja aliongea na waandishi ambao walitaka kufahamu kuhusu maandalizi ya mchezo dhidi ya KVZ na hali ya Shiza Kichuya aliyeumia katika mchezo wa kwanza.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement