Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Dogo Aslay kajinunulia gari… ni BMW !!

on

Ni mwimbaji staa ambae hakuna kijiwe cha Bongofleva kisichomfahamu au kucheza nyimbo zake na hakika amepata mialiko ya kutosha kutumbuiza kwenye jukwaa kubwa la FIESTA 2017.

Leo ametuonyesha gari lake alilojinunulia aina ya BMW ambapo kwenye hiyo picha aliambatanisha shukrani zake nyingi kwa Management yake, kumshukuru Mungu na kumkumbuka Marehemu Mama yake.

VIDEO: Mambo 8 ya vituko na kusisimua kwenye harusi ya Joti, bonyeza play hapa chini kujionea

VIDEO: Harusi ya Joti na alivyoingia ukumbini kwa sebene… bonyeza play hapa chini kujionea

Soma na hizi

Tupia Comments