Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Unachohitaji kusikia kutoka Polisi kuhusu waliomuua bondia Thomas Mashali kwa mawe

on

AyoTV inae kamishna wa kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro akiongelea kuhusu waliomuua bondia maarufu wa Tanzania Thomas Mashali aliyezikwa juzi Kinondoni Dar es salaam.

Sirro amesema ‘Thomas Mashali ambaye ni marehemu kifo chake kimetokana na kipigo na inaonekana siku ya tukio alikua na ugomvi na vijana kule Kimara, inaonekana walikua na chuki ya muda mrefu kwahiyo vijana wa kihuni wapatao kumi na kitu ambao walimshambulia kwa mawe

Kupata taarifa yote ya Polisi unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini..

VIDEO:Kuna vijana waliofungwa kwa kushindwa kulipia supu’ – Mwigulu… tazama hii video hapa chini

VIDEO: Bondia Thomas Mashali alivyozikwa Kinondoni Dar es salaam, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement