Habari za Mastaa

Hivi ndivyo Madee alivyomzawadia gari meneja wake.

on

IMG-20140102-WA0009Meneja kutoka Kundi la TipTop Conection lenye maskani yake pale Manzese Tip Top Babu Tale usiku wa kuamkia tarehe 1 2014 alikua akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa ambapo katika vitu ambavyo waliohudhuria hawakuvitarajia ni aina ya zawadi iliyotolewa na msanii wa siku nyingi ambae amekua chini ya Bab Tale, Madee.

IMG-20140102-WA0005Star wa huyu wa single mpya ya ‘tema mate tumchape’  aliamua kumzawadia gari aina ya  BB NEW MODEL lililoagizwa Japan na kumkabidhi mbele ya waliohudhuria akiwemo mwimbaji Amini, Ditto, Keisha, meneja wa kundi la Tmk Wanaume Family Said Fela na watu wengine wengi.

IMG-20140102-WA0017

IMG-20140102-WA0016Mwasiti akilishwa keki.

IMG-20140102-WA0013Keisha akilishwa keki na Bab Tale.

IMG-20140102-WA0011

IMG-20140102-WA0006Aaaaaaah! Tale weeeeeee

IMG-20140102-WA0003Ditto akichukua kipisi chake.

IMG-20140102-WA0008Amini weee

IMG-20140102-WA0000

IMG-20140102-WA0002Dada wa Diamond, Asma.

Tupia Comments